."NEW SEED" translations (Swahili) ."NEW SEED" translations (Swahili) |
THIS PAGE HAS BEEN VISITED TIMES SINCE IT WAS UPLOADED IN MAY 2010.
(This website is still under construction) |
(Swahili translation) SWAHILI TRANSLATION Sisi – wewe, mimi na wote waliyo nasi – tunakusudia kabisa kwa utashi wetu wengewe na bila unafiki kutiya ngufu zetu zote pamoja, kwakuweza kupiganiya haki za binadamu na mazingira katika fasi hatuweze kutegemeya serkali na utawala ambawo, kwa kweli, zinaacha kuendelea upungufu na uharibifu wa maisha na mengine mambo tunapashwa kukinga na kuchunga vema.Kwa upekee na pamoja, tunaamini kwamba hiyi ni mapashwa na haki yetu ambayo hata mtu moja hastahili kutukataliya ao kupinga.Kusudio yetu hiyi ni kama Mbegu Mpya ya mawazo na matendo yenye tutapambaza katika inchi zetu na pia duniani kwote.Kusudio hili tutajikaza itangazwe na kuzaa matunda kupitiya jamaa zetu na shirika zetu ambazo zita rudisha upya tena desturi ya Bayanihan, kwa ajili ya mazingira yetu , sifa yetu na maisha bora. Tutatayarisha
mipango kamili tutakazotimiza kadiri ya hali na nguvu zetu katika
uaminifu kwa msinji na mipango ya shirika letu.Mwenyezi Mungu
anayeongoza yote na kuomba vyote upya aendelee kutuongoza na
kutusaidia. Back to top |
(English:) A NEW SEED We
– you, me and all who are with us – have freely, clearly and firmly
decided / (First English translation by Ding Reyes, writer in English and Filipino). |